Timu ya Taifa ya Argentina imetinga
fainali ya Copa America baada ya kuifunga na ushindi wa penati 3-2
dhidi ya Colombia baada ya kutoshana nguvu 1-1 katika dakika 90.
Argentina watakutana na Timu ya Taifa ya Brazil ambayo ilitinga fainali ya Copa America baada ya kuifunga Peru 1-0 kwenye hatua ya nusu fainali.
Neymar na Messi kwa pamoja wamehusika kwenye utoaji wa Assist ya magoli yaliyofungwa katika timu hizo. Nani kuchukua kombe hilo ni Neymar au Messi?
Tags
MICHEZO