YANGA HII YAMOTO SASA ALAMA 11 ZAID YA SIMBA

Yanga imeanza Duru la Pili la Kombe la Ligi Kuu ya NBC kwa kujikusanyia alama 3 muhimu ambazo zinafanya kuwa na Alama 11 zaidi ya wapinzani wao Simba.

 Yanga wanajidhatiti kileleni mwa Ligi kuu ya NBC kwa kujikusanyia alama 42 baada ya kumfunga Kagera Sugar goli 3-0 Uwanja wa Benjamini Mkapa hapo Jana.

Ni Fiston Mayele aliyetetema mara Mbili pamoja na Godfather wa Bujumbura Saido Ntibazonkiza akifunga bao la Tatu.

JE SIMBA WATAWEZA KUTETEA UBINGWA WAO MSIMU HUU?


 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post