KIMENUKA..!! WEMA SEPETU ATUMBUA JIPU SAKATA LA MADAWA YA KULEVYA, TAZAMA VIDEO HII HAPA

Issue ambayo inatrend kila kona kwasasa hapa Bongo ni hii ya Muheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuamua kudeal na baadhi ya mastaa na kuwafanyia uchunguzi ikiwa ni washukiwa kuhusika na madawa hayo kuanzia utumiaji mpaka usambazaji.watuhumiwa wa Madawa
Baadhi ya majina ya mastaa ambayo yamesikika kwenye list ya mkuu wa mkoa huyo ni pamoja na Wema Sepetu, TID, Babuu wa Kitaa, Mr Blue, Nyandu Tozy, Tunda, na hata mwanadada Vanessa Mdee.

Ikiwa sakata hilo linaendelea kushika kasi kila kona Lindiyetu Blog imeidaka clip ambayo anasikika mwanadada Wema Sepetu akielezea kila kitu kinachoendelea kwenye sakata hilo na kutoboa siri nzito ambayo wengi walikuwa hawaifahamu hapo awali!

Unataka kuijua ni siri gani hiyo!? Uhondo wote upo kwenye video hii hapa chini play uweze kumsikiliza mwanadada Wema Sepetu kiumakini akifunguka juu ya mchongo huo.




++++++++++++++++++++++++++++++++++++++


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM

Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post