WEMA SEPETU AWASHANGAZA FOLLOWERS WAKE KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM

Nini tena kimemkuta malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu? Ama labda ameamua kutoingia mwaka 2017 kwa kumbukumbu za mwaka 2016?.Wema Sepetu
Ni kwa sababu mrembo huyo ameamua kufuta Kumbukumbu zote za kwenye akaunti yake ya mtandao wa Instagram yenye followers milioni 2.5.

Japo kwa sasa bado haijajulikana sababu ya kuamua kufanya hivyo, ila uwezekano kwamba ameamua kuukaribisha mwaka mpya kwa kupost kumbukumbu mpya ni mkubwa.
instagram ya wema
Mrembo huyo mwaka jana amekumbwa na majanga mbalimbali hivyo inawezekana ikawa ni njia moja wapo ya kuyasahau yaliyopita na kuanza maisha mapya.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post