Katika Hali ya Kuukaribisha mwaka Mpya 2017 na Kuuaga mwaka 2016 kila mtu ameweza kushiriki kinamna yake kwa kadri alivyoweza kujaaliwa.
Lindiyetu.com imeweza kukusanyia matukio 2 ya Masupa Star wawili wa Tanzania ambao waliwahi kuwa Couple moja Matata sana siku za nyuma, hapa ninamzungumzia Bosi wa WCB Wasafi yaani Diamond Platnumz pamoja na Tanzania Sweetheart kama wengi wanavyopenda kumwita, mimi nina mwita Wema Sepetu.
Watu hawa wameweza kuukaribisha Mwaka 2017 kwa Stairi tofauti, Diamond Platnumz yeye akiwa katika Kasri lake la Kifahari huko Afrika Kusini akiwa pamoja na Familia yake ameweza kushare nasi Video kupitia mtandao wa Snapchart na sisi tukaona sio vibaya kukusogezea hapa.
Kwa upande wa pili nikimaanisha Wema Sepetu yeye ameweza kuukaribisha Mwaka akiwa na Marafiki zake wa karibu katika moja ya Sehemu ya Starehe huku wakifurahia mwaka mpya kwa pamoja.
Bofya Play kutazama Video za Matukio yote mawili hapa Chini.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.