NIJUZE NIJUZE Author
Title: U-HEARD-: NAY WA MITEGO AKANA KUIDIS NGOMA YA MADEE!
Author: NIJUZE
Rating 5 of 5 Des:
Kuanzia jana usiku mpaka mchana wa leo issue ambayo ilikuwa inatrend kinoma katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kwa hapa...
Kuanzia jana usiku mpaka mchana wa leo issue ambayo ilikuwa inatrend kinoma katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kwa hapa Bongo ni post ya rapper Nay wa Mitego katika mtandao huo iliyochukuliwa kama ni dis kwa wimbo mpya wa Madee.
Nay wa Mitego na MadeeSasa Soudy brown amemvutia waya Nay wa Mitego kwenye U-Heard ya leo january 18 na kumuuliza kuhusu post yake hiyo kama amemlenga Madee au lah!.

Nay wa Mitego amekanusha vikali tuhuma hizo na kudai kwamba hajawahi hata kuusikia wimbo huo. Play hii video hapa chini kumsikiliza Nay wa Mitego akifunguka juu ya hilo, pia Madee atasikika kuhusiana na suala hilo.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top