Unknown Unknown Author
Title: NUH MZIWANDA AFUNGUKA JUU YA KUMSALITI MKEWE NA SHILOLE WALIPOKUTANA MWANZA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Star wa #JikeShupa Nuh Mziwanda amefunguka kwa mara ya kwanza tetesi za kufumaniwa na Shilole Mwanza ndani ya Maisha Club. Akipiga s...
Star wa #JikeShupa Nuh Mziwanda amefunguka kwa mara ya kwanza tetesi za kufumaniwa na Shilole Mwanza ndani ya Maisha Club.
Nuh Mziwanda na Shilole

Akipiga story na Lindiyetu.com Nuh Mziwanda amesema yeye na mke wake Nawal wanategemea kupata Mtoto wao wa Kwanza hivi karibuni. lakini Pia amekanusha tetesi zakumsaliti mkewe huyo na Ex wake Shilole jijini mwanza walipokutana Club.

Lakini inasemekana walikuwa kwenye mahaba ya nguvu…..!! Msikilize hapa Nuh Akifunguka Mengi zaidi.

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top