Mwanahisa wa Jamii Media Co Ltd, Mickey William ameunganishwa katika kesi mbili zilizokuwa zinamkabili mkurugenzi mtendaji wa mtandao huo, Maxence Melo za kuzuia uchunguzi wa jeshi la polisi.
Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka hayo leo hii mbele ya Hakimu mkazi Mkuu, Thomas Simba na Godfrey Mwambapa.Uchunguzi umekamilika na washtakiwa watasomewa maelezo ya awali Februari 9 na 20, 2017 huku washtakiwa wote wapo nje kwa dhamana.
Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, kampuni inayomiliki mtandao maarufu, Jamii Forums, Maxence Melo ameshtakiwa kwa Makosa 2 likiwemo la kuendesha na kumiliki tovuti ambayo haijasajiliwa hapa nchini kinyume cha sheria.

BY: Emmy Mwaipopo
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.