Unknown Unknown Author
Title: HAYA NI MANENO YA RAPPER YOUNG DEE MARA BAADA YA KURUDISHA AKAUNTI YAKE YA INSTAGRAM BAADA YA KUIBIWA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rapper Young Dee alihakiwa akaunti yake ya Instagram yenye followers Milioni Moja na kuibadili jina kisha kuanza kutangaza matangazo ya bia...
Rapper Young Dee alihakiwa akaunti yake ya Instagram yenye followers Milioni Moja na kuibadili jina kisha kuanza kutangaza matangazo ya biashara mbali mbali ila leo ameweza kuirudisha account hiyo.
Young Dee

Meseji kutoka kwa Young Daresalaama hii hapa chini:
"I got my account back!!! Sijui hata nianzie wapi kuwashukuru, You guys are more than fans, you are family to me now... Account nisingeipata bila support yenu!!! I Thank God for giving me the strength to Stand Positive! 🙏🏽Thank you guys for supporting me!!🙏🏽 Thanks to the Media Supporting my Music!!!🙏🏽Bila Support yenu kiukweli sijui, only God knows. Shukran za dhati ziende kwa kila mmoja wenu!!! 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 #YoungDaddyIsBack #GodBlessThisHustle

Young Dee Post
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++

++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top