DIAMOND APOROMOSHA MATUSI MAZITO KWENYE INSTAGRAM LIVE

Najua hii itakuwa imekupita basi kama ilikupita ninakusogezea karibu yako.
Diamond PlatnumzInamuhusu Hit Maker wa Nyimbo kibao kama Salome, Kidogo na nyinginezo kibao hapa ninakuwa namzungumzia Diamond Platnumz.

Kupitia InstaLive Muimbaji huyo aliweza kuwafungukia ma Haters wake kuwa wao waendelee kumchukia kwani yeye atazidi kusonga mbele na hawatomfikia na kitu kingine ni kwamba yeye wala hawamsumbui kwani hawajui na yeye anawapenda watu wanaompenda.

Staki nikumalizie Uhondo sikiliza Povu lake Live kwa kubofya Play kwenye hii video hapa.


++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia FacebookTwitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post