VIDEO:: ALIKIBA ALIVYOKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE KATIKA TAMASHA LA AFTER SKUL BASH 2016

Ilikuwa kama surprise kwa mashabiki pale mfalme wa muziki wa Bongo Fleva Alikiba alipopanda katika jukwaa la After Skul Bash hapo jana ukizingatia hakuwemo kwenye list ya wasanii ambao walitajwa kuperform katika tamasha hilo hapo awali.Alikiba
Alikiba aliweza kutumbuiza nyimbo kama "Nesamehe" akiwa na Barakah Da Prince, "Kajiandae" akiwa na Ommy Dimpoz bila kusahau wimbo wake ulioamsha shangwe za kufa mtu "AJE".

Unataka kushuhudia jinsi ilivyokuwa? Nimekuletea hapa full show, unachotakiwa kufanya ni kubonyeza play kwenye video hii hapa chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post