Hakuna asiyejua kama kuna bifu ambalo sio la pole pole kati ya C.E.O wa WCB Wasafi Diamond Platnumz na mtu mzima Alikiba. Bifu ambalo limekaa kibiashara zaidi na hata ushindani katika game ya Muziki.
Waliwahi kusikika Baraka Da Prince ambaye anaonekana kuwa yupo karibu sana na msanii Alikiba, na hata Abdu Kiba ambaye ni mdogo wa damu wa msanii Alikiba na wakadai kuwa wao hawapo tayari kabisa kufanya collabo na wasanii wa WCB kutokana na kudai aina ya muziki ambao wanafanya ni tofauti na muziki wao.
Sasa Lindiyetu.com imemkamata mkali kutoka WCB Wasafi hitmaker wa ngoma ya Natafuta Kiki Raymond (@rayvanny) na kupiga nae story imekaa vipi kwa yeye kufanya kazi na msanii ALikiba.
Sasa Lindiyetu.com imemkamata mkali kutoka WCB Wasafi hitmaker wa ngoma ya Natafuta Kiki Raymond (@rayvanny) na kupiga nae story imekaa vipi kwa yeye kufanya kazi na msanii ALikiba.
BOFYA VIDEO HAPO CHINI KUSIKIA ALICHOKIONGEA
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.