BRAND NEW AUDIO MUSIC | MILELE BY LULUDIVA FT BARNABA | DOWNLOAD/LISTEN

Luludiva ft Barnaba - Milele | Lindiyetu.com
Msanii mpya katika Muziki wa bongo fleva Luludiva ameachia wimbo mpya unaitwa “Milele”, akiwa amemshirikisha Barnaba Boy.

wimbo huo umeandikwa na Barnaba na pia ametumika kuandaa wimbo huo.

ISIKILIZE HAPA KISHA TOA MAONI YAKO:

***********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post