AUDIO:: HATIMAE BABU TALE AFICHUA SIRI YA KUACHA KUMSAIDIA CHID BENZ

Leo Disemba 23, 2016 Team nzima ya WCB Wasafi na Team ya XXL walikuwa pande za Mlimani City jijini Dar es Salaam kwenye tukio zima la kuuza tiketi kwaajili ya show ya kesho pande za Jangwani Sea Breez kwenye Vodacom Wasafi Beach Party.
Babu Tale na Chid BenziWakali hao waliweza kukutana na mashabiki zao ana kwa ana na kuruhusu maswali mawili matatu kutoka kwa mashabiki.
Moja ya Maswali yaliyoulizwa nikuhusiana na Rapper Chid Benzi ambaye inasemekana Amerudia Kutumia Madawa ya Kulevya ambapo hapo awali Meneja wa Msanii Diamond Platnumz Babu Tale alijitokeza kumsaidia Msanii huyo kuachana na Madawa hayo ya Kulevya.

Babu Tale alijibu Kama Ifuatavyo, bofya Video hapo Kusikiliza.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post