Unknown Unknown Author
Title: U HEARD: MUPYA NI KWAMBA YOUNG DEE KURUDIANA NA TUNDA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
U Heard ya Soudy Brown ndani ya XXL ya Clouds FM November 28, 2016   iko na story inayohusu uhusiano wa kimapenzi uliokuwepo kati ya rapa ...
U Heard ya Soudy Brown ndani ya XXL ya Clouds FM November 28, 2016  iko na story inayohusu uhusiano wa kimapenzi uliokuwepo kati ya rapa Young Dee ambaye aliwahi kuwa na uhusiano na Video Queen Tunda waliyeacha baada ya kutoelewana kupelekana polisi.
Tunda na Young Dee
Baada ya kuwepo taarifa kwamba Tunda ameachwa na mwanaume anayetajwa kuwa alikuwa akimgharamia kwa kila kitu ikiwemo kulipia nyumba, kununua magari na starehe zote alizokuwa akizifanya kila siku, ikaja kuonekana ameanza kuwa karibu tena na Young Dee.

Leo Soudy Brown amepiga stroy na Young Daresalama ambaye ameeleza kuwa yeye na Tunda wako vilevile kama mwanzo hawakuwahi kugombana na ameamua kumsamehe Tunda kwasababu itakuwa kosa kubwa endapo hatamsaheme wakati yeye pia ana makosa makubwa zaidi ya hayo ya Tunda.

“Mimi nilikuwa na matatizo yangu mengi sana hata kufika hapa tu nimesamehewa sana vitu vingi katika watu ambao hawakutakiwa kusamehewa ni mimi ndio mana nimeamua kumsamehe, kwa yote ambayo Mungu amenisamehe nisiposamehe nitakua nakosea sana”Young Dee

Young Dee amefunguka Mengi Hebu Bofya Play kumsikiliza.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top