SHILOLE AITOLEA POVU KAMATI YA MISS TANZANIA, NI KUHUSU SHINDANO HILO (+VIDEO)

Mengi yakiwa bado yanazungumzwa kuhusu ishu ya Miss Tanzania 2016, Shilole a.k.a Shishi baybeee nae amekuja na povu lake juu ya Kamati ya Miss Tanzania.
Shilole a.k.a Shishi baybeee
Ebhana Bad Girl Shishi, Shilole ni moja kati ya wasanii wakike ambao taarifa za kidaku huwa hazichezi mbali na yeye, yaani automatic tu anajikuta yupo katika stori za kidaku ila leo Shishi Baby aliamua kuifungukia Lindiyetu.com Povu lake kuhusu kamati ya Miss Tanzania.

Shilole amesema kwamba Povu lake yeye linamuuma sio kwamba anajitetea yeye kama yeye ila ametoa povu hilo kutetea industry nzima ya muziki wa Tanzania hii imetokea ni baada ya kusapoti sana miziki ya nje kuliko hii ya kwetu.

Sikiliza hapa zaidi Povu la Shilole kuhusu kamati ya Miss Tanzania.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post