OFFICIAL MUSIC VIDEO | FALL IN LOVE BY CHIDINMA | WATCH HERE
byUnknown-
0
Baada ya kufanya vizuri kwenye Kibao "Perfect Combo" alichoshirikishwa na Rapa kutoka Tanzania Joh Makini, Msanii Chidinma kutoka Nigeria ameachia wimbo wake mpya ikiwa ni sambamba na Video ya wimbo huo alioupa jina "FallinLove". Nimekuwekea Hapa Itazame, Usiache Kuniachia maoni yako hapo chini.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...