Unknown Unknown Author
Title: MSANII TEKNO KAWAPA UJUMBE HUU WATANZANIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuelekea November 5 pale Leaders Club joto la burudani sio la pole pole kwa wapenzi wa burudani kuhusu kinachotarajiwa ku-happen usiku huo...
Kuelekea November 5 pale Leaders Club joto la burudani sio la pole pole kwa wapenzi wa burudani kuhusu kinachotarajiwa ku-happen usiku huo.
Tekno Milles
Inajulikana wazi kuwa mmoja kati ya wasanii wa kimataifa ambao wanatarajiwa kudondosha Burudani usiku huo ni pamoja na Tekno Milles kutoka Nigeria.

Sasa mkali huyo ametuma ujumbe kwa wapenzi wa muziki mzuri wote nchini Tanzania kuhusiana na ujio wake weekend hii.

Play hii video hapa chini umsikilize ni kitu gani kakiongea mkali huyo.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top