Unknown Unknown Author
Title: MAJINA YA WASANII WATAKAOWANIA TUZO ZA EATV 2016 HAYA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Awamu ya kwanza ya kutaja majina ya wasanii watakaowania tuzo za EATV kwa mwaka huu wa kwanza yametajwa Jumanne hii. Kwa kuanzia yame...
Awamu ya kwanza ya kutaja majina ya wasanii watakaowania tuzo za EATV kwa mwaka huu wa kwanza yametajwa Jumanne hii.
EATV AWARDS 2016
Kwa kuanzia yametajwa majina ya wasanii kutoka katika vipengele viwili kati ya kumi vilivyopo kwenye tuzo hizo huku zoezi hilo likitarajiwa kufanyika kwa siku nne ambapo litakamilika Ijumaa hii ya Novemba 11.

Hii ni orodha ya wasanii waliotajwa kwenye vipengele hivyo.

Mwanamuziki bora chipukizi

Man Fongo
Feza Kessy
Ruky Baby
Mayunga
Bright

Muigizaji bora wa kiume
Saidi Ali – Ndugu wa mume
Meya Shabani – Profile
Daudi Tairo (Duma) –
Salim Ahmed (Gabo) – Safari ya Gwalu
Dotto Matotora – Likwacha Lala

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top