BRAND NEW AUDIO MUSIC | KOKORO REMIX BY MEDA CLASSIC | DOWNLOAD/LISTEN
byUnknown-
0
Msanii Meda Classic baada ya kuachia wimbo ambao uliofanya vizuri na kumtambulisha katika sanaa wimbo wa "Barua kwa Diamond", msanii huyo wa bongo flava kutokea Iringa ambaye kwa sasa ameachia Remix ya wimbo “Kokoro” wa Rich Mavoko akiwa kamshirikisha Diamond Platnumz.
Meda amesema lengo ni kuonesha ni jinsi gani ameipokea kazi yao vizuri na kutoa heshima kwa kizuri walichofanya.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...