BARAKA DA PRINCE KUIKACHA TZ SASA AJIPANGA KUHAMIA SOUTH AFRIKA

Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya “Nisamehe” aliyomshrikisha Ali Kiba, Baraka da Prince anakwambia sasa anampango wa kuhamia kwa Madiba.
Baraka da Prince
Akiongea na Lindiyetu.com, Baraka amefunguka na kusema kwamba kwa sasa yeye anamipango yake na anafamilia yake, yaani akimaanisha kwamba na baby wake Najma, lengo kubwa la kwenda Afrika ya kusini ni kufanya shughuli za kimuziki pamoja na kufanya Biashara kwasababu kuna Fursa ameziona.

Msikilize hapa Baraka Da prince.


**********

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post