Sio uchukuaji wa tuzo tu ndio ambao ulimpeleka mtu mzima Diamond Platnumz pande za Johannesburg South Africa.
Bali ni pamoja na utumbuizaji katika jukwaa hilo la utoaji wa tuzo hizo za MTV Africa Music Awards. Na kama ilivyo kawaida yake Diamond Platnumz hakushindwa kufanya moja kati ya show bora kabisa ambazo zilihappen usiku huo.
Kiasi kwamba kukishawishi kituo cha BET kuweza kummwagia sifa msanii huyo kwa Ku-tweet tweet hii hapa.
Kiasi kwamba kukishawishi kituo cha BET kuweza kummwagia sifa msanii huyo kwa Ku-tweet tweet hii hapa.
Acha nikupe nafasi ya kuitazama show hiyo ambayo Diamond Platnumz na team yake waliua kiunaga ubaga katika jukwaa hilo la MTV MAMA 2016.Diamond Platnumz is one hell of a performer 💯💯💯 #MTVMAMA2016— BET Africa (@BET_Africa) October 22, 2016
— LindiYetu .Com (@Lindiyetublog) October 23, 2016
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.