Paul Pogba ameamua kuwapa matumaini mashabiki wa Man united kuwa wampatie muda wa kuizoea Manchester United.
Tangu kuvunja rekodi ya kununuliwa kwa bei ghali zaidi Duniani, Pogba ameshindwa kufanya vizuri tangu alipochukuliwa kutoka Junvetus, Sasa Paul Pogba amezungumza kuhusu uwezo wa soka ambao amekuwa akionyesha uwanjani kutokana na kuwa akitupiwa lawama kuwa kiwango chake kimeshuka.
“I will need a little time to adapt in Manchester, time for the machine to start working. I am adapting, People like to talk about Paul Pogba. The critics, they stay for a day, then after that I put my music back on, I dance.”
(Tafsiri ya Kiswahili)
“Nahitaji muda kidogo kuizoea Manchester, muda ambao mashine itaanza kufanya kazi nitakuwa nimezoea, Watu wanapenda kuzungumza kuhusu Pogba, ni wakosoaji kila siku, ila mimi sijali, naweka muziki na kucheza” alisema Pogba wakati akizungumza na French TV.

**************
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.