KWA JIBU HILI JE? DIAMOND PLATNUMZ AMEMUOGOPA BABY WAKE WA SASA?

Ilikuwa ni mida flani ya saa 9 kasoro kwenye kipindi cha My Playlist cha Times FM mchana wa leo ambapo Diamond Platnumz ndio alikuwa mgeni wa kipindi hicho na kuulizwa maswali kadhaa na Lil Ommy ambaye ndiye muendeshaji wa kipindi hicho.
Diamond Platnumz
Katika segment ya chagua moja, moja, kati ya maswali ambayo Lil Ommy alimuuliza Diamond Platnumz ni “Ni msichana gani mwenye mvuto zaidi kati ya Wema na Zari?”
ZariWema
Na majibu ya Diamond yalitoka moja kwa moja bila kupindapinda “Mama Tee”

Unahisi Diamond yuko sahihi au kamuogopa Zari the Bosslady? Tuachie maoni yako hapa chini kwenye uwanja wa comments na sisi tutapita nayo kama kawiz.

******************
MAGOLI YOTE YA MECHI YA YANGA NA SIMBA OKTOBA 1 TAIFA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post