Ligi ya Vodacom itaendelea wikiendi hii kwa kuzikutanisha Timu Sita katika Viwanja Tofauti Tofauti.

Mecho zote Zitarushwa na kituo cha Televisheni cha AZAM


Simba Sc wakiwa wanaongoza ligi hiyo watakuwa wenyeji wa Kagera Sugar katika Uwanja wa Uhuru jijini dar es Salaam huku Mtibwa Sugar baada ya kupokea Kichapo kutoka kwa Yanga Jumatano hii atawakaribisha Tanzania Prison pale katika uwanja wa Manungu. Na Toto Africa atakuwa mwenyeji wa Maji maji Fc ya Songea kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

Mecho zote Zitarushwa na kituo cha Televisheni cha AZAM
MSIMAMO WA LIGI ULIVYO HIVI SASA.

************
Tags
SPORTS NEWS