BEST NASSO ATOKA NA WEMA SEPETU

Wema Sepetu
Msanii wa muda mrefu Kunako kiwanda Cha Bongo fleva, ambaye amejibebea umaarufu wa tungo za namna yake Best Nasso, amezidi kuzitupia picha za Mrembo wa Tanzania Kunako kiwanda Cha Filamu, Wema Sepetu katika ukurasa wake wa Instagram.

Picha hizo zinazo tupiwa zimeambatana na taarifa ya kusubiri kitu kipya muda wowote kuanzia hivi sasa.

Wakati Best Nasso akifanya hilo la kuzitupi picha za mrembo huyo katika kurasa yake ya Instagram bado mashabiki wa Best Nasso hawajapata nafasi ya kuziona katika ukurasa wa Instagram wa wema sepetu picha hizo  ambazo zimesanifiwa vizuri kwajili ya kionjo cha ujio wa mradi wa mkali huyo.

Wema Sepetu
Kaa mkao wa kula kusubiri kitu toka kwa Best Nasso.

************

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post