Unknown Unknown Author
Title: TREY SONGZ ATAKUWEPO KWENYE MSIMU WA 4 WA COKE STUDIO AFRICA, KUFANYA COLLABO NA MSANII HUYU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Muimbaji wa RnB kutoka Marekani, Trey Songz anatarajiwa kuungana na wasanii wengine wa Afrika ambao watashiriki kwenye msimu wa 4 wa kipin...
Muimbaji wa RnB kutoka Marekani, Trey Songz anatarajiwa kuungana na wasanii wengine wa Afrika ambao watashiriki kwenye msimu wa 4 wa kipindi cha Coke Studio Africa.
Trey Songz
Uongozi wa kipindi hichi umetangaza habari hii nzuri Instagram “BREAKING NEWS: Joining Coke Studio Africa Season 4 is singer, songwriter, record producer and actor… @treysongz! Follow the conversation on #CokeStudioAfrica.”

Trey Songz ni msanii wa tatu kutoka Marekani kushiriki kwenye Coke Studio Africa baada ya Wyclef Jean na Ne-Yo.

Trey Songz atafanya collabo na rapa wa Afrika Kusini ‘Emtee‘ na collabo hii itatayarishwa na DJ Maphorisa. Show Ya Trey Songz itakuwa kwenye fainal ambayo ni Episode ya 13 kurushwa 19 November 2016.

Tanzania msimu huu inawakilishwa na Vanessa Mdee, Joh Makini, na Yamoto Band huku Diamond akishiriki ile ya Afrika Kusini (Coke Studio South Africa).
_________________________________________

BIRTHDAY YA MAJIZO MABUSU NJE NJE NA MREMBO LULU, CHEKI VIDEO HII HAPA

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top