
Yanga walianza kupata goli la 1 katika dakika ya 5 ya mchezo kupitia kwa mshambuliaji wa Hamis Tambwe ambapo goli hilo lilidumu mpaka kipindi cha pili kwenye mchezo huo, katika dakika za nyongeza Yanga walipata goli la 2 kupitia Donald Ngoma na kufanya mchezo huo kumalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa 2-0 dhidi ya Mwadui FC.
Tags
SPORTS NEWS