ITAZAME HAPA VIDEO YA WIMBO MPYA WA DIAMOND FT RAYVANNY - SALOME (TRADITIONAL VERSION)

Nahisi watu wa Bukoba hii SALOME yake DIAMOND PLATNUZM ft RAYVANNY inawahusu zaidi, naamini ukiisikiliza hii utaelewa namaanisha nini.
Diamond Platnumz ft Rayvanny Salome
Kama Saida Karoli katolewa Bukoba halafu kaletwa Sinza Dar es Salaam hivi, kisha wakamkalisha kwenye vinanda vikali vya Producer Laizer. wa WCB. Utanielewa zaidi endapo utaisikiliza na kuitazama Video hii. 

Enjoy nayo.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post