HUU HAPA MUONEKANO MPYA WA STAA WA BONGO FLEVA RAY C A.K.A KIUNO BILA MFUPA

New Look
Picha mpya kwenye kurasa ya Instagram ya Bongo Fleva staa Ray C imewapa matumaini mashabiki wake kuwa atarudi kwenye muziki hivi karibuni.

Ni muda sasa umepita toka staa huyu aweke chochote kwenye Instagram yake kuhusu muonekano wake, Hii ndio picha yake mpya iliyoambatana na ujumbe huu “Bidii yangu inategemea nguvu yako tu baba”

Ray C
__________________________________________
ENJOY NA HII REMIX YA “ALL THE WAY UP” AMBAYO IMEFANYWA NA DIAMOND PLATNUMZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post