Septemba 10, 2016 wapenzi na mashabiki wa muziki wa vigoma/singeri mkoani Tanga walikutana katika viwanja vya Mkwakwani ambapo miongoni waliomsupport katika usiku huo wa vigoma ni Staa wa Filamu za Tanzania, Wema Sepetu pamoja na Team Wemasepetu.
Itazame hii video hapa ujione jinsi Team Wema walivyoyakata Mauno katika Usiku huo wa Vigoma.
Itazame hii video hapa ujione jinsi Team Wema walivyoyakata Mauno katika Usiku huo wa Vigoma.
Tags
HABARI ZA KITAIFA