Ni Muda wa Miezi kadhaa imepita tangu Audio ya wimbo huu utoke na kusemwa mambo mengi hapo katikati yaliyosemekana kudhoofisha kutoka kwa Video hii. Hatimae msanii Malaika ameweza kuiachia Video hiyo ya Wimbo wake "Rarua".
Hebu Itazame hapa na Utoa maoni yako.