Kundi la P-Square linaloundwa na wasanii mapacha Peter na Paul Okoye limeripotiwa kuanza kurekodi nyimbo pamoja tena baada ya kutoelewana kwa miezi kadha.
July 2016 Peter Okoye alisema kupitia Instagram kuwa mambo yako shwari kwa P-Square na kwamba kaka yao Jude Okoye amebaki kuwa meneja wao.
Ujumbe mpya kuhusu UPDATES za P Square kwenye Instagram ya Peter ulisema…
Kwa sasa P Square wanang’ara na wimbo waliofanya na Diamond kutoka Tanzania ‘Kidogo’.
Ujumbe mpya kuhusu UPDATES za P Square kwenye Instagram ya Peter ulisema…
"Something new Cooking in da kitchen and about to come out! From us! You already know it’s P2 baby!!! #KoolestDudes"
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.