PICHA HII YA NICKI MINAJ YAWATOA UDENDA VIDUME HUKO INSTAGRAM

Nicki Minaj
Usanii unaweza ukawa ni mgumu kutokana na muda mwingine unaweza ukafanya kitu ambacho hukutarajia kukifanya – hata kupiga picha ukiwa mtupu.

Rapper wa bora wa kike Marekani, Nicki Minaj amewashtua mashabiki na kuwatoa udenda vidume kutokana na picha yake aliyopost kwenye mtandao wa Instagram inayoonyesha sehemu kubwa ya nyeti za mwili wake zikiwa wazi.
Nicki Minaj
Ni muda mrefu Nicki Minaj ameonekana kukaa kimya hali iliyopelekea mashabiki wake kuwa na wasiwasi juu ya hatima yake kwenye muziki.

Hata hivyo Nicki Minaj na Kim Kardashian wanaongoza kwa kupiga picha zinazoonyesha sehemu kubwa ya nyeti zao zikiwa tupu.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post