OMMY DIMPOZ AZIMASAUTI KWENYE VIDEO HII AKIWA NA WAYNE ROONEY, JE UNAKITAFSIRIJE KITENDO HIKI?

Ommy Dimpoz and Wayne Rooney
Hii ni miongoni mwa trending stories kwa sasa bongo, msanii wa bongo fleva Ommy Dimpoz kakutana na mchezaji wa Man Untd Wayne Rooney huko Ibiza amabpo mastaa wengi wa michezo tofauti na wasanii wapo kwaajili ya mapumziko.

Kwenye posy yake instagram aliandika “Disturbing Spain with Le Captain Wazzaaa @waynerooney #ibiza2016 #pkp_empire #ManchesterBwanaTunapendanaaaa #BataTunakulaPamojaaa #KamaNakuonaUlivyotoaMachoHuamini???????? #SemaWamanyemaWabishiiiBataNaRooney???? ”

Sauti ya video hiyo imezimwa, video iko hapo chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post