Taarifa zilizotufikia kutoka mtaani zinadai kwamba eti Nuh Mziwanda amefungishwa ndoa ya mkeka.
Mjomba wa mpenzi wa Nuh mziwanda amewahi kusikika katika U-Heard kuwa Nuh Mziwanda anaishi na mtoto wao huyo kinyume na sheria na kudai kuwa binti huyo ametoroka kwao na hivyo wao kama ndugu wana mtafuta ili aweze kurudi nyumbani.
Baada ya Snitch huyo kuzinyaka ameweza kumfikishia ubuyu wa moto Soudy Brown na muwakilishi huyo wa shirika la wambea duniani SHILAWADU akaona sio kesi ngoja amvutie waya Nuh na waweze kupiga stori kuhusiana na jambo hilo.

Shilole pia akuwekwa mbali katika ishu hii pia alivutiwa waya na gossip master huyo Soudy Brown, unaweza kusikiliza hapa chini.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.