BRAND NEW VIDEO:: NJE YA BOX BY JOH MAKINI FT NIKKI WA II & GNAKO

weusi nje ya boxHii ni video moja iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu na wapenzi wote wa muziki wa Hip pop Nchini kutoka kwa Joh Makini akiwa amewashirikisha Nikki wa II na Gnako. iangalie hapa Kwamara ya Kwanza.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post