Mbunge wa Kigoma mjini, Zitto Zuberi Kabwe amefunga ndoa Alhamisi hii na mchumba wake aliyemvisha pete miezi michache iliyopita.
Zitto akimvisha pete mchumba wake
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni kiongozi mkuu wa chama cha ATC Wazalendo, ndoa yake imefanyikia Zanzibar na kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo ndugu zake pamoja na rafiki wa karibu.
Mwanasiasa huyo ambaye pia ni kiongozi mkuu wa chama cha ATC Wazalendo, ndoa yake imefanyikia Zanzibar na kuhudhuriwa na watu wachache wakiwemo ndugu zake pamoja na rafiki wa karibu.
Kupitia instagram, Zitto amepost picha ya ndoa na kuandika: A to Z.
(Picha kwa hisani ya Mwananchi Communication Ltd)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.