BRAND NEW VIDEO MUSIC || RAMA DEE F/ YOUNG YUDA - MAZOEA (RnB Meets SINGELI) || WATCH HERE
byNIJUZE-
0
Muziki wa Singeli unazidi kwenda mainstream. Je! Unasikikaje muziki huo unapochanganywa na ladha ya RnB tena kutoka kwa muimbaji hodari kabisa wa muziki huo?
Just beautiful.
Tazama video ya wimbo huu mpya wa Rama Dee ‘Mazoea’ aliomshirikisha msanii chipukizi wa Singeli, Young Yuda. Video imeongozwa na Kasampaida.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...