
Anaitwa Gaucho nimsanii ambaye yuko chini ya Label ya mwana dada mwenye kash kash nyingi si mwingine Shilole Hit wa Single ya "Say ma Name" ameachia Video ya wimbo wake wa kwanza chini ya Label hiyo inakwenda kwa Jina #Today
Itazame hapa Chini. Kisha weka maoni yako
Tags
VIDEOS