Ngoma Mpya ya Nikki Wa Pili kutoka kundi la WEUSI iitwayo "Sweet Mangi" aliyomshirikisha Chin Bees iliyotengenezwa katika Studio za Swtch Record chini ya Producer Lufa imefanyiwa Video na Director Justin Campos kutoka Afrika Kusini.
Unaweza kuitazama hapa chini na Pia Kudownlod audio yake kwa kubofya Download.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.