Unknown Unknown Author
Title: DIAMOND PLATNUMZ KUTOA ALBUM HIVI KARIBUNI, MENEJA WAKE ATHIBITISHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Diamond anajiandaa kuachia album yake mpya. Meneja wa staa huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini ametupa h...
Kuna uwezekano mkubwa kuwa Diamond anajiandaa kuachia album yake mpya.
 Sallam, Diambo and Tale
Meneja wa staa huyo ambaye kwa sasa yupo Afrika Kusini ametupa hint kuwa santuri mpya ya msanii wake ipo njiani kuja. Sallam Sharaff amepost picha hiyo chini na kuandika kwa maneno yanayotafsiriwa kwa Kiswahili ‘hii ni tarehe sahihi ya kuachia album.’
Sallam Sharaff
A photo posted by "Jorgé Mendez" 🔑 (@sallam_sk) on
Kwa sasa muimbaji huyo anafanya vizuri na wimbo wake Kidogo aliowashirikisha P-Square. Video ya wimbo huo hadi sasa ina zaidi ya views milioni 2.2 kwenye Youtube.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top