Trace TV wamezitaja video mbili tukutoka East Africa ambazo zimeingia kwenye Top 10 ya Urban Hit 10, pia usisahau kuniachia comment yako kwenye list ya hii midundo kumi ilitajwa na Trace TV kwenye Urban Hits 10.
Vanessa Mdee kutoka Tanzania na Sauti Sol kutoka Kenya ndio wanaiwakilisha East Africa kwenye chat hizo za Urban Hit kupitia Trace TV, list kamili hii hapa chini.
