Rich Mavoko amesema lebo ya WCB itakuja kuwa kubwa sana Afrika.

Amesema anatamani angekuwa ameruhusiwa kusema mambo makubwa wanayoyapika ndani ya himaya yao. “Kiukweli kama ningeruhusiwa kutoa siri za kampuni, ningesema nani ana video ngapi lakini mi naomba watanzania waoneshe ushirikiano mkubwa kwa vijana wao,” anasema Rich.

Tags
HABARI ZA WASANII