MAMBO YA BIG BROTHER UK NI MOTO, TAZAMA PICHA ZA LAURA NA MARCO WAKIWA KWENYE SWIMMING POOL

Big Brother uk
Washiriki wa Shindano la Big Brother, Marco Pierre White Jnr na Laura Carter, ambao tayari walisha wahi kufanya ngono ndani ya jumba hilo, wamerudi kwenye kiki tena marahii. Wakati huu wameonekana wakioga pamoja ndani ya jakuzi na kufanya mazungumzo ya hapa na pale.

Kwa mujibu wa Laura mwenye umri wa miaka 30, amekuwa mwenye wasiwasi kuwa inawezekana Marco, mwenye umri wa miaka 21, anaweza kuwa amesema uongo kwake juu ya kuwa katika uhusiano ya wazi ili tu awezekufanikiwa kufanyanae mapenzi, lakini hiyo haimfanyi yeye kuacha kutoka naye tena Kimapenzi kwa mara nyingine.

Hizi ni picha zao...
Big Brother uk
Big Brother uk
Big Brother uk

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post