

Katika picha hiyo, Kim aliyezaa na Kanye mtoto mmoja aitwaye North, anaonekana katika gazeti hilo akiwa hajavaa nguo yoyote zaidi ya kujifunika maeneo yake nyeti kwa koti.

“Ameifurahia sana ile picha, anasema amependa mkewe alivyotoka kwani hakuwa amepaka ‘make-up’ wala kuvaa nguo lakini bado ameonekana mrembo. Amemshauri kwamba waisafishe upya na kuiweka kwenye fremu na kuihifadhi nyumbani kwao kwa ajili ya ukumbusho,” kilisema chanzo kimoja kilicho jirani na wanandoa hao.

Tags
WATU MAARUFU