KAMA ULIPITWA NA VIDEO YA CHIDI BENZI ALIPOKUWA AKITOKA REHAB, ICHEKI HAPA

Chidi Benz
Tumemuona Chidi Benz zaidi kwa picha za kuvutia alizopigwa kwenye studio za Wasafi, lakini hatujaona video ya siku alivyotoka kwenye kituo cha rehab cha Life and Hope cha Bagamoyo.

Kupitia video hii ya Perfecto TV unaweza kuona akihojiwa na mtangazaji wa kipindi cha Harakati, Kalapina baada tu ya kutoka. 

Tazama hapo chini.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post