HUWEZI KUAMINI NINI KYLIE JENNER (MDOGO WA KIM KARDASHIAN) AMETUMIA HII KAMA LIPSTICK

Sote tuna uzuri wetu wa Asili, lakini moja ya kile alichoweza kushare nasi Kylie Jenner hivi karibuni kupitia Ukurasa wake wa Instagram ni cha kuvutia - na ni dhahiri inaonyesha kuwa style yake ya ujasiriamali atafika mbali.
Kylie Jenner
Tumeona uvaaji wake wa Kuvutia pamoja na urembo wa midomo yake, lakini linapokuja suala la kuchagua rangi limekuwa ni ngumu kupata alama moja, Haijatarajiwa kuwa anaweza kutumia mapambo ya DIY'd. Kwakuwa ina Rangi Nyeusi.

Hebu tazama Hapa:
A photo posted by Kylie Cosmetics (@kyliecosmetics) on

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post