HII NDIO RATIBA YA MECHI ZA EURO 2016 ZITAKAZOONESHWA NA CHANEL YA ZBC 2 KUPITIA KISIMBUSI CHA AZAM

Euro 2016
Mechi zifuatazo zinaletwa kwenu kwa hisani ya ZBC 2. Burudika na ZBC 2 kuangalia mechi LIVE za Euro 2016 saa 4:00 usiku.
ZBC 2

16/6/2016
Germany v Poland
18/6/2016
Portugal v Austria
21/6/2016
Croatia v Spain

Mechi zote zitaruka Saa 4:00 Usiku ndani ya ZBC 2.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post