BRAND NEW AUDIO MUSIC || PAPA WEMBA FT DIAMOND PLATNUMZ - CHACUN POUR SOI || DOWNLOAD/LISTEN
byNIJUZE-
0
Legend wa muziki wa dansi Afrika Papa Wemba daima hatosaulika katika muziki wa Dansi.
Kwa sasa ameshatangulia mbele za haki lakini huu ni wimbo aliofanya na Diamond Platnumz wiki chache kabla ya kufariki. Wimbo unaitwa ‘Chacun Pour Soi’.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...